Picha mbali mbali zikionyesha tukio la uzinduzi rasmi wa Tamasha la sita la kampeni ya uhamasishaji unywaji wa kahawa uliofanyika hivi karibuni makao makuu ya Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB)mjini moshi mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Nurdin Hassan Babu akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tamasha la sita la kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa ikiwa ni mkakati wa Bodi ya kahawa nchini kukuza soko la ndani.
Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa nchini(TCB),Primus Kimaryo akizungumza wakati wa uzinduzi wa tamasha la sita la kampeniya uhamasishaji unywaji wa kahawa.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Nurdin Hassan Babu(Kulia)akiteta jambo na Mkurugenzi wa Bodi ya kahawa Tanzania(TCB),Primus Kimaryo(katikati)wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Sita la kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Nurdin Hassan Babu(kushoto)akipokea zawadi ya kahawa kutoka kwa Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB),Primus Kimaryo muda mfupi baada ya mkuu huyo wa mkoa kuzindua Tamasha la sita la kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa.

0 Comments