WATANZANIA
KWA MAKUNDI TOFAUTI WAMEUNGANA KUMPONGEZA MHESHIMIWA RAIS KATIKA KUMBUKIZI YA
SIKU YAKE YA KUZALIWA
MJINI MOSHI MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WANAWAKE TANZANIA (UWT) YA CHAMA CHA MAPINDUZI MANISPAA YA MOSHI AMEWAONGOZA KINA MAMA WA JUMUIYA HIYO KATIKA KUMBUKIZI YA SIKU YA KUZALIWA MHESHIMIWA RAIS KWA KUKATA KEKI PAMOJA NA KUPANDA MITI ENEO LA JENGO LA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO KATIKA HOSPITAL YA RUFAA YA MKOA YA MAWENZI
FUATILIA TUKIO LA UKATAJI WA KEKI KATIKA PICHA
.jpg)

.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)

.jpg)

0 Comments